AyoTV

LIVE: Mapya ya boss Azam FC “Ligi ikivunjwa iishie pale pale, hakuna timu kushuka”

on

AyoTV leo imeongea katika exclusive interview na afisa mtendaji mkuu wa Azam FC Abdulkarim Nurdin “Popat” kuhusiana mambo mbalimbali lakini kubwa ni kutokana na kuhusiana na mwendendo wa Azam FC.

Unajua soka la kisasa lazima uwe na pesa na uwekezaji wa kutosha ili uweze kutwaa Ubingwa na kushindana na vigogo wa SImba na Yanga na hata timu za nje ya Tanzania, kwa Azam FC wamewahi kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu mara moja tu licha ya uwekezaji wao mkubwa wanaoufanya, shida nini wanakwama wapi ikiaminika wameizidi Simba na Yanga kwa vitu vingi sana.

VIDEO: MANARA AZUNGUMZIA LIGI KURUDI “TFF WAMEKAA KONA MBAYA, SISI NDO MABINGWA”

Soma na hizi

Tupia Comments