Top Stories

LIVE: Ndugai anazungumza “wale 19 ni Wabunge labda wajiuzulu wao”

on

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema Wabunge wote walioapishwa wanatambulika kama wabunge halali wa Bunge la 12 wakiwamo 19 wa CHADEMA.

“Nashangaa wanawasonga hawa 19, huyo mmoja ‘wamembwaya’? Wakiweza wamfukuze lakini sisi tumeshamuapisha na tunamtambua, hayo yanayoendelea huko ya kwao” Spika Ndugai

Soma na hizi

Tupia Comments