Top Stories

LIVE: Prof. Kabudi aweka wazi uhusiano wa Tanzania na Mataifa mengine

on

Waziri Kabudi leo akisoma Bajeti ya Wizara yake “Tanzania imefanikisha mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Afya wa SADC Machi 9, chini ya Mwenyekiti wake Ummy Mwalimu uliofanyika kwa mtandao na kupendekeza kuundwa kwa kamati ya wataalam kwa ajili ya kusimamia itifaki ya afya ya SADC kufuatia mlipuko wa COVID-19″.

DAWA YA CORONA: POLISI KAMATA WANAOTENGENEZA DAWA “MADAWA YATATUUA”

Soma na hizi

Tupia Comments