Top Stories

LIVE: Rais Magufuli anazindua majengo ya Shule ya Ihungo

on

Rais Magufuli amezindua Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo iliyopo Bukoba Mkoani Kagera, Shule hiyo imejengwa upya baada ya kuathiriwa na Tetemeko la Ardhi lililotokea September 2016.

Ujenzi wa majengo mapya ya shule hii ya Ihungo umeongeza uwezo wa Shule kupokea Wanafunzi wengi zaidi, idadi hiyo imeongezeka kutoka Wanafunzi 640 hadi 1000.

Soma na hizi

Tupia Comments