Top Stories

Live Rais Samia akimpokea Rais wa Botswana Ikulu DSM

on

NI Rais wa Botswana Mokgweetsi Masisi ambae tayari amewasili nchini  kwasajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili, Ayo TV & Millardayo.com ipo live kutokea Ikulu DSM ushuhudia jinsi Rais Samia Suluhu Hassan anavyompokea. unaweza ukabonyeza kutazama.

LIVE: RAIS SAMIA AKIMUONESHA PICHA RAIS WA BOTSWANA IKULU

Tupia Comments