Top Stories

Live: Rais Samia akizindua mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mfumo wa usafirishaji wa dharura wa wajawazito na watoto wachanga (M-Mama0 leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

Tupia Comments