Live: Rais Samia akizindua sensa ya watu na Makazi visiwani Zanzibar
Share
0 Min Read
SHARE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Zanzibar leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar.