Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo tarehe 28 Aprili, 2022 akitokea nchini Marekani katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour.
You Might Also Like
TAGGED:
Rais Samia, Tanzania
Edwin TZA