Ad

Top Stories

LIVE: Rais Samia anaapisha Viongozi aliowateua

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi mbalimbali ambao aliwateuwa Aprili 4, 2021.

Miongoni mwa walioteuliwa na Rais ni pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na wengine kuwahamisha au kuwapunguzia majukumu.

Wengine  ni wakuu wa idara, taasisi na mashirika mbalimbali, ambao pia aliwateuwa siku hiyo ya Aprili 4, 2021.

Soma na hizi

Tupia Comments