Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Mei 10, 2022 amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe nchini Uganda kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili.
TAGGED:
Rais Samia
Edwin TZA