Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda akiongea na wananchi leo amenukuliwa akisema “Hongera Dkt. Rais Magufuli na hongera Watanzania waliokubali kuchapa kazi hata katika kipindi cha COVID-19 na hongera kwa kusimamia ilani kwa asilimia 99.9 na hiyo 0.001 tunawaachia ndugu zetu”.
TAKUKURU TANGA YAMTIA MBARONI MENEJA BANDARI YA KIPUMBWI KISA RUSHWA