Top Stories

LIVE: Tume yajibu tuhuma za uwepo wa kura feki, baadhi ya Kata uchaguzi kuahirishwa

on

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma.

Amewataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura katika muda huu mchache uliobaki.

Soma na hizi

Tupia Comments