Habari za Mastaa

Live: Utoaji wa tuzo za muziki usiku huu, Diamond apewa tuzo ya heshima

on

Ni April 2, 2022  ambapo tuzo za Muziki za Tanzania zinatolewa usiku huu ikiwa miaka saba imepita bila uwepo wa tuzo hizi nchini Tanzania.

Tuzo za Mwaka huu zinatolewa kwenye ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, na tayari zimeanza kutolewa ambapo watu watano wa kwanza wamepewa tuzo ya heshima ni Rais Samia, Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Mabeyo, Marehemu Ruge Mutahaba, Marehemu Bibi Kidude na Mwimbaji Diamond Platnumz.

Ayo TV na Millardayo.com iko mubashara kutoka zinakotolewa tuzo hizo katika ukumbi wa JNICC, tazama hapa

MASOUD KIPANYA AZINDUA GARI LAKE “LINATUMIA UMEME, UKINUNUA UNAUZIWA NA CHAJA YAKE”

 

Tupia Comments