Top Stories

LIVE: Wabunge Viti maalum CHADEMA wakiongoza na Halima Mdee wanaapishwa

on

Wabunge Wateule wa Viti Maalumu kutoka CHADEMA wanaapishwa muda huu na Spika Ndugai katika Viwanja vya Bunge, Jijini Dodoma, wakiongozwa na Halima Mdee, Ester Bulaya , Salome Makamba na Salome Tendega.

Soma na hizi

Tupia Comments