AyoTV

LIVE: Kilele cha malkia wa Nguvu kutokea kituo cha kimataifa cha mikutano cha Julius Nyerere

on

April 01 2017 kunafanyika utoaji wa tuzo kwa wanawake, tuzo ambazo zimepewa jina la Malkia wa Nguvu zilizoandaliwa na Clouds Media Group na tukio linafanyika kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es saalam, Bonyeza play hapa chini kutazama LIVE kinachoendelea

VIDEO: Mastaa walivyonogesha usiku wa Malkia wa Nguvu ya Clouds FM, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments