AyoTV

LIVE: Msanii Roma Mkatoliki, Waziri Mwakyembe wanazungumza na waandishi

on

Siku kadhaa zilizopita msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu walipotea katika mazingira ya kutatanisha ambapo baada ya kurudi uraiani waliahidi kuzungumza siku ya Jumatatu kuhusu tukio hilo. Leo Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe leo akiwa na Roma Mkatoliki na wenzake wanazungumza na waandishi, Bonyeza play hapa chini kutazama LIVE

ULIKOSA? Roma alivyoongea baada ya kutoka alikotekwa, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments