Mix

VIDEO: Uchaguzi wa Wabunge Bunge la A. Mashariki Kundi la CHADEMA

on

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo May 10, 2017 mjini Dodoma likiwa ni Bunge la Kumi na Moja katika Mkutano wa Saba ambapo palifanyika Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki Kundi la CHADEMA.

Unaweza kutazama kwa ku-play video hapa chini…

VIDEO: Vituko vingine vya Mbunge ‘Bwege’ Bungeni May 10 2017. Bonyeza play kutazama…

VIDEO: ‘Hawa Wananchi hawatoturudisha tena’ –Nape Nnauye.

Soma na hizi

Tupia Comments