Michezo

Live:Haji Manara anazungumza na Waandishi wa Habari

on

NI Msemaji wa Yanga SC, Haji Manara ambae muda huu anazungumza na Waandishi wa Habari.

Ayo TV & Millardayo.com iko mubashara unaweza ukafuatilia kile kinachojiri.

“Wengi hawaju sisi (Yanga) ndio club ya kwanza kuwahi kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 1988, sisi kwa kifupi ndio Mabingwa wa muda wote wa nchi hiii” Haji Manara

Achana na habari za porojo eti Yanga inadaiwa ndio maana wachezaji wake watatu (Mayele, Aucho na Djuma) hawatocheza sababu inadaiwa, hii akili ya wapi kwa nini CAF wasizuie wachezaji wote tuliowasajili, si wangezuiwa wachezaji wote tuliowasajili, hizo ni mbinu za kututoa mchezoni”- Manara

Yanga SC kupitia kwa msemaji wao Haji Manara wametangaza kuwa wanenda katika mchezo wa Jumapili wa round ya awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya River United ya Nigeria wakiwa na slogan ya The Return Of Champions (Mabingwa Wamereje).

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments