Top Stories

Live:Askari waliomuua Hamza wapewa zawadi “Yule Gaidi angeua watu hovyo hovyo”

on

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia kwa Kamanda Muliro Jumanne muda huu anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Askari waliomuua Hamza.

“Askari hawa Waliopambana na Hamza miongoni mwao walikuwa ni Askari 11, ambao kwa mamlaka za kisheria za uendeshaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP amewapa zawadi ya vyeti vya ujasiri na zawadi ya pesa kwa kadri alivyoona inafaa”– Jumanne Muliro

Ayo TV & Millardayo.com iko mubashara muda huu.

BAADA YA RAIS KUZINDUA MKAKATI WA SENSA, RC ARUSHA AANZA NA WANANANCHI

 

Soma na hizi

Tupia Comments