Michezo

Live:Mkutano wa Simba SC na waandishi muda huu

on

NI Simba SC ambapo muda huu wanazungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Jezi mpya za msimu 2021/22.

Miongoni mwa walioshika kipaza sauti muda huu ni Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei anaelezea Jezi  mpya.

“Ukweli ni kwamba hakuna design yoyote ambayo tumeitengeneza na ambayo ilipitishwa  na kamati labda kuonekana mtaani kwanini sisi ni wazabuni wapya kulikuwa na mzabuni wa zamani na sasa tunaenda kuzindua kitu kipya kwahiyo test yetu tunataka kwa mara kwanza ionekane kwenye macho yenu”– Fredy Vunjabei

“Uzinduzi wa hizo Jezi zitafanyika za aina mbili,  Jezi ya Simba SC ya msimu wa Mwaka 2021/22 zitazinduliwa Tarehe 4 Septemba Jumamosi hii jioni tutawaalika Wadau, Waandishi mbalimbali, Viongozi wa TFF na Mashabiki wajue hatutaweza kuwaalika wote ila wewe uliekaa nyumbani kaa na king’amuzi chako utashuhudia kila kitu”- Fredy Vunjabei

 

SAMATTA AONDOKA FENERBAHÇE NA KUJIUNGA NA ROYAL ANTWERP

Soma na hizi

Tupia Comments