Michezo

Mechi kati ya Liverpool v/s Bournemouth yakamilika.

By

on

matokeo ulayaMechi kati ya Afc Bournemouth v/s Liverpool imekamilika kwa Liverpool kushinda mbili huku Afc Bournemouth ikishindwa kuzichungulia nyavu za Liverpool,kwa Liverpool magoli yamefungwa na Victor Moses pamoja na  Daniel Sturridge ambayo yameiweka vizuri Liverpool kwenye mechi hiyo ya Raundi ya Nne ya Kombe la FA jioni hii.

Tupia Comments