Top Stories

Live:Rais Mwinyi akipokea ndege mpya mbili Airbus 220-300 huko Zanzibar

on

Ni Octoba 8, 2021 ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi anapokea ndege Mbili aina ya Airbus A220-300 huko visiwani Zanzibar.
Ndege hizo zinatua katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sheikh Abeid Amani Karume Mjini Unguja.
Ndege hizi ambazo zimepewa majina ya Zanzibar na Tanzanite zitakamilisha hesabu ya ndege 11 zilizonunuliwa na kuwasili hapa nchini.

Ayo TV  Millardayo.com iko mubashara muda huu unaweza ukabonyeza play kutazama live.

SERIKALI KUPOKEA NDEGE MBILI, WAZIRI MBARAWA AFUNGUKA ‘NDEGE HIZI ZITAPOKELEWA VISIWANI ZANZIBAR’

 

Soma na hizi

Tupia Comments