Top Stories

Live:Rais Samia ahudhuria mkutano wa kumbukumbu ya maisha ya Maalim Seif

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad.
Hafla hiyo inafanyika muda huu katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip, Zanzibar.

RAIS MWINYI AKAGUA VIWANDA ” MAKONTENA YANAKWENDA NJE MATUPU, TUNAZALISHA KIDOGO SANA”

Soma na hizi

Tupia Comments