Top Stories

Live:Rais Samia ahudhuria uapisho wa Rais wa Zambia

on

Ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambae leo Agosti 24, 2021 amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule Hakainde Hichilema nchini Zambia.

TAZAMA RAIS KAGAME AKIMUENDESHA RAIS SAMIA NCHINI RWANDA

Soma na hizi

Tupia Comments