Top Stories

Live:Rais Samia akirejea nchini kutoka Marekani

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa JNIA akitokea nchini Marekani.

Rais Samia alikuwa nchini Marekani kwenye mkutano wa 76 wa baraza kuu la Umoja wa mataifa (UN).

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments