Top Stories

Live:Rais Samia anawaapisha Mabalozi wateule 13 Ikulu DSM

on

NI July 27, 2021 ambapo Rais wa awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Mabalozi wateule 13 muda huu Ikulu Dar es Salaam.

Ayo TV iko mubashara ikikupatia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Dar es Salaam.

Tupia Comments