Top Stories

Live:Rais Samia ashiriki kuaga mwili wa aliekuwa Naibu Waziri Ole Nasha

on

NI Septemba 30, 2021 ambapo Rais Samia ashiriki kuaga mwili wa aliekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William OLe Nasha Bungeni mkoani Dodoma.

Ayo TV & Millardayo.com iko mubashara muda huu unaweza ukabonyeza play hapa kutazama

RAIS SAMIA ALIVYOTOA BAHASHA NA KUMKABIDHI MKE WA MAREHEMU OLE NASHA

ULINZI WA RAIS SAMIA ALIVYOWASILI VIWANJA VYA BUNGE KUAGA MWILI WA ALIEKUWA NAIBU WAZIRI OLE NASHA

Soma na hizi

Tupia Comments