Top Stories

#Live:Rais Samia ashiriki maadhimisho ya siku ya Demokrasia duniani

on

NI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ashiriki katika maadhimisho ya siku ya Demokrasia duniani.

Shughuli hii inafanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.

Ayo TV iko mubashara muda huu.

KWA MARA YA KWANZA KIKWETE KAFUNGUKA UTENDAJI KAZI WA RAIS SAMIA “MPAKA SASA ANAENDESHA NCHI VIZURI”

Soma na hizi

Tupia Comments