Michezo

Video: Liverpool hali tete ulaya – angalia hapa matokeo na magoli ya mechi yao dhidi ya FC Basle

on

463416_heroa

 

Mambo yamezidi kuiendea kombo klabu ya Liverpool katika msimu mpya wa soka barani ulaya.

Baada ya kushinda mechi ya kwanza kwa taabu dhidi ya Ludogorets, klabu hiyo ya Mersesyde jana alijitupa uwanjani kupambana na FC Basle ya Uswiss.

Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la St Jakob Park uliisha kwa matokeo ya ushindi wa klabu ya FC Basle ambayo wiki mbili zilizopita walifungwa na Real Madrid 5-1.

Goli la FC Basle lilifungwa na Marco Streller katika dakika ya 52 ya mchezo huo.

Unaweza kuangalia highlights hapa chini

FC Basel Vs Liverpool 0-1 All Goals & Highlights. by imidzs24lmno

Tupia Comments