Michezo

Yasikupite matokeo ya Liverpool vs Newcastle mtu wangu!!

on

raheemLiverpool imeendelea kujihakikishia nafasi tano za juu katika msimamo wa ligi kuu ya England baada ya jana mshambuliaji wao nyota Raheem Sterling na Joe Allen kuisogezea pointi tatu nyingine dhidi ya New castle.

stelinRaheem alikuwa wa kwanza kuipatia Liverpool bao la kwanza kabla ya Joe Allen kuhitimisha furaha ya ushindi kwa kufunga goli la pili hivyo kuwafanya watoke uwanjani kifua mbele kwa mabao 2-0.

playersNi halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments