Michezo

Liverpool hawatopewa Ubingwa wa EPL kama corona itaendelea

on

Shirikisho la soka Ulaya (UEFA) limetoa ufafanuzi kuwa club ya Liverpool ya England ambayo ipo katika nafasi nzuri zaidi ya kutwaa taji la Ligi Kuu England 2019/20 kuliko timu yoyote EPL.

UEFA hiyo haitoshi kuwapa Liverpool Ubingwa msimu huu, taarifa hizo zimetolewa jioni ya March 19 2020.

Sasa imewekwa is wazi kuwa kama maambukizi ya virusi vya corona yatanedelea kwa kiwango kikubwa na Ligi kushindwa kufayika, basi itatumika njia za hesabu huku Liverpool ikionesha kuwa na point 100 katika ukokoyoaji huo.

Soma na hizi

Tupia Comments