Michezo

Liverpool waruhusiwa kuvaa beji ya dhahabu vs Wolves

on

Club ya Liverpool ya England imeruhusiwa na uongozi wa Ligi Kuu England kutumia jezi zenye beji ya FIFA Champions iliyonakshiwa na rangi za dhahabu katika mchezo wa EPL dhidi ya Wolves.

Liverpool watacheza na Wolves Jumapili ya December 29 2019 hivyo kutokana na kutwaa Ubingwa wao wa kwanza wa club Bingwa dunia msimu huu waliotwaa nchini Qatar dhidi ya katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Flamengo.

Beji hiyo ambayo imezoeleka ikivalowa na club ya Real Madrid, Liverpool wataiwela katikati ya jezi yao mbele kifuani, ikiwa na urefu wa milimeta 78 na upana wa milimeta 57.

Soma na hizi

Tupia Comments