Michezo

Liverpool watoa dozi ya Wiki Carabao Cup

on

Michezo ya mzunguuko wa tatu wa Kombe la Carao imechezwa leo kwa Liverpool kwenda ugenini kucheza dhidi ya wenyeji wao Lincoln.

Liverpool wakiwa ugenini wamefanikiwa kusonga mbele kwa kupata ushindi wa magoli 7-2, hivyo sasa wanaingia round ya nne na watacheza dhidi ya Arsenal sasa ambao nao wameingia round ya nne kwa kuifunga Leicester.

 

Soma na hizi

Tupia Comments