Michezo

Liverpool yamsajili mshambuliaji huyu kutokea Nigeria……….

on

Klabu ya Liverpool ya Uingereza haiko nyuma na yenyewe kumalizia masaa ya usajili yaliosalia vizuri, kila klabu ina angaika ili iweze kusajili mchezaji iliyekuwa inamtaka kwa muda mrefu au inasajili mchezaji ambaye ni mbadala wa yule ilio mkosa. Jioni ya August 31 klabu ya Liverpool imetangaza kumsajili Taiwo Awoniyi.

wpid-476200658-taiwo-awoniyi-of-nigeria-reacts-to-a-missed-gettyimages

Liverpool imemsajili Taiwo Awoniyi ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Nigeria amezaliwa mwaka 1997 na alikuwa akichezea timu ya taifa ya Nigeria ya umri chini ya miaka 23 lakini imempeleka kwa mkopo katika klabu ya FSV Frankfurt ya Ujerumani.

liver

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments