Michezo

Pamoja na kukosa ubingwa Liverpool wazifunika Man City, Man Utd, Arsenal kifedha

on

article-2625535-1DC0C08800000578-25_634x540Liverpool wanaweza wakawa wamekosa ubingwa wa ligi kuu ya England mbele ya Manchester City, lakini linapokuja suala la nani amekuwa bingwa kwenye msimamo wa timu zilizoingiza fedha nyingi kwenye msimu wa 2013-14.

Kikosi cha Brendan Rodgers kimemaliza ligi pointi 2 nyuma ya Manchester City, ambao walibeba kombe lakini wamezidiwa kiasi cha £1m na Liverpool.

 Liverpool wamepata £99m kwa ujumla wa mapato yote, Man City pamoja na kutwaa ubingwa wamepata £98m, United pamoja na kuishia nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi wameingiza £91m = Listi kamili ipo kwenye picha namna timu zinavyoingiza mapato kwenye EPL baada ya msimu kuisha.Untitled copy

Tupia Comments