Top Stories

Live:Waziri Mwigulu akitaja viwango vya Tozo kwenye miamala vilivyopunguzwa

on

NI Septemba 1 2021 ambapo Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba anazungumza na Waandishi wa habari muda huu kuhusu viwango vya tozo kwenye miamala vilivyopunguzwa.

“Kutekeleza Teknolojia ambayo itaenda kurahisisha ama kupunguza sehemu ya gharama katika sekta hii”- Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba

“Mheshimiwa Rais alielekeza pia tuangalie utaratibu wa usimamizi wa fedha hizi hazichanganywi na fedha zingine tumeona tukusanyane na tutatue matatizo hasa kwenye huduma za Jamii”- Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba

“Wengine walikuwa wanapata hofu na hii sekta  nikawaambia kwamba Mheshimiwa Rais alichoguswa nacho ni kwamba Wananchi wake wamemwambia aangalie namna ya kupunguza jambo hili”- Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba

“Lakini wamemuomba aangalie kwenye vile viwango ili viwaruhusu visiwakwamishe kwenye maendeleo kwahiyo upande wa Sekta tuliendelea katika wakati ule miamala ilikuwa milioni 10, milioni 11, milioni 10.Kabla ilivyokuwa hatujaanza hata wananchi watakubaliana nami kwamba viwango viwe rafiki ili Wananchi wasiathirike kwenye Shughuli zao”- Waziri wa Fedha Dkt  Mwigulu Nchemba

BREAKING: TOZO ZASHUSHWA, AGIZO LA RAIS SAMIA LATEKELEZWA,MWIGULU ATIA SAINI MAREKEBISHO YA KANUNI

 

Soma na hizi

Tupia Comments