AyoTV

LIVE: Kamanda Sirro anazungumza na waandishi wa habari

on

Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo April 12 2017 amekutana na waandishi wa habari kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo matukio mbalimbali ya kiuhalifu unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama LIVE kinachoendelea.

Ulikosa Rais Magufuli akizindua ujenzi wa reli ya kisasa ya Dar-Moro, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments