AyoTV

VIDEO: Askofu Mokiwa afafanua mgogoro unaoendelea kwenye kanisa la Anglikana

on

Baada ya Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Jacob Chimeledya kumtaka Askofu mkuu Dayosisi ya Dar es salaam Valentino Mokiwa ajiuzulu kwa kile kilichodaiwa kuwa anatumia madaraka yake vibaya na ubadhirifu wa fedha.

Leo January 10 2017 Askofu Mokiwa amekutana na waandishi wa habari ili kutoa ufafanuzi kuhusu mgogoro huo unaoendelea kwenye kanisa hilo ambapo amekanusha na kudai kuwa migogoro hiyo inapandikizwa. Unaweza kubonyeza play hapa chini

VIDEO: Majibu ya Daktari kuhusu damu ya wanyama kutumika kwa binadamu, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments