AyoTV

VIDEO: CHADEMA wamezungumzia mwenendo wa utekelezaji wa bajeti ya Serikali

on

Leo March 10 2017 chama cha demokrasia na maendeleo ‘CHADEMA’ kupitia kwa katibu mkuu wake, Vincent Mashinji wamezungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa utekelezaji wa bajeti ya Serikali ambapo amesema 2016/17 unaelekea kumalizika ila utekelezaji wa bajeti ya serikali mpaka sasa ni robo ya nne haujafika 40%. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

“Tuunganishwe kwenye ile kesi kama wadaiwa, tutainunua ile kesi”-Tundu Lissu, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments