Top Stories

LIVE MSIBA WA MZEE MAJUTO: Mwili wake ukitolewa Mochwari muda huu

on

Live muda huu ndani ya AyoTV ni kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mwili wa Marehemu Mzee Majuto ukitolewa Mochwari kuelekea Karimjee kwaajili ya kuagwa hapa Jijini DSM na kuelekea mkoani Tanga.

BREAKING: Kinachoendelea Tanga kwa marehemu Mzee Majuto, “eneo la kuzikiwa aliliandaa”

Soma na hizi

Tupia Comments