AyoTV

VIDEO: Makomando wa JWTZ wakionyesha uwezo mbele ya JPM

on

Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimefanyika leo April 26, 2017 katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.

Tanganyika na Zanzibar ziliungana April 26, 1964 chini ya hayati Baba wa Taifa, Mwalim Julius Nyerere na hayati Sheikh Abeid Karume. Hapa ni kikundi cha Makomando wakionyesha uwezo.

Bonyeza play hapa chini kutazama…

VIDEO: Onesho la mbwa na farasi kwenye sherehe za Muungano Dodoma. Bonyeza play kutazama…

Ulikosa? Kwata la kimyakimya la Wanajeshi wa Tanzania Uhuru Day 2016, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments