Breaking News

BAVICHA waeleza kwa nini hawakuandamana kama walivyotangaza

on

Ijumaa September 1, 2017 Bazara la Vijana wa CHADEMA, BAVICHA limefanya mkutano na Waandishi wa Habari ili kwanza kutoa mrejesho wa maazimio yaliyofikiwa na Baraza hilo baada ya kukutana na Waandishi wa Habari August 24, 2017.

Mbali na kutoa mrejesho pia BAVICHA imeelezea matokeo ya ilichokifanya wakati mchakato uliotokana na maazimio ya August 24 ikiwa ni pamoja na kufuata utaratibu na sheria kwa kuwaandikia barua IGP na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Tanzania ikiwa ni kwa mujibu wa Sheria.

TAMKO LA CHADEMA: Ni kuhusu taarifa za Mbowe kufuta mchakato

ULIPITWA? Kitu CHADEMA wamezungumza na Waandishi wa Habari

Soma na hizi

Tupia Comments