Mix

Uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli leo March 25 2017

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo March 25 2017 amemteua Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kabla ya Uteuzi huo Charles Edward Kichere alikuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA. Charles Edward Kichere anachukua nafasi ya Alphayo Kidata ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ikulu. Kufuatia uteuzi huo, nafasi ya Naibu Kamishna Mkuu wa TRA itajazwa baadaye.

Ulikosa hii? ‘Unaweza kumchukia mtu lakini usiichukie Tanzania’-Rais Magufuli, Bonyeza play hapa chini kuitazama 

Soma na hizi

Tupia Comments