Leo December 6 2016 Waziri wa nchi ofisi ya Rais, utumishi na utawala bora, Angela Kairuki amemuagiza mkurugenzi wa TASAF kuwasimamisha kazi mara moja maafisa washauri na ufuatiliaji wa TASAF 106 walioshindwa kufuatilia kaya zisizo stahili kuingia katika mpango wa kunusuru kaya maskini.
Aidha Waziri Kairuki ameagiza kusimamishwa kazi kwa maafisa wa TASAF watano kutoka makao makuu wanaosimamia mpango huo pamoja na meneja wa uratibu na mkurugenzi wa uratibu ambao ndio viongozi wakuu. Unaweza kubonyeza play kwenye video hii hapa chini kutazama
VIDEO: Waziri Simbachawene alivyotekeleza agizo la Rais Magufuli, Bonyeza play hapa chini kutazama