Top Stories

BREAKING: Viongozi wa juu CHADEMA wazungumzia hali Tundu Lissu kwa sasa

on

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissi kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake Dodoma na kwa sasa akiendelea kutibiwa Nairobi Kenya, Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa mara nyingine wamekutana leo Spetember 12 2017 kuzungumza na wana habari kuhusu tukio la kushambuliwa Tundu Lissu na hali yake inavyoendelea kwa sasa. Unaweza kubonyeza play hapa chini

Tupia Comments