Top Stories

St. John University wanayo hii habari njema leo

on

Leo March 10, 2018 Wapo Watanzania ambao hupenda kuona maisha ya Watanzania wengine yakienda vizuri katika hali ya kuwafanya wafurahie wanachokipenda katika maisha yao ndiyo maana St John’s University of Tanzania wanayo furaha kubwa kuwafikishia Watanzania GOOD NEWS.

ST. JOHN’S UNIVERSITY OF TANZANIA (SJUT) CHIEF MAZENGO CAMPUS DODOMA  wanayofuraha kukutangazia Muhula mpya wa masomo kwa MARCH/APRIL 2018 wanayo kila sababu ya kukufanya Mtanzania uendelee kupata huduma nzuri ya masomo. 

 

Soma na hizi

Tupia Comments