Mix

Kauli za RC Makonda alipoanza ziara yake Ilala leo Nov 23 2016

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameendelea na ziara yake jijini Dar es slaam, leo November 23 2016 ikiwa ni siku ya tano amefika wilaya ya Ilala na kuzungumza na watendaji mbalimbali wa wilaya hiyo kabla ya kwenda kusikiliza kero mbalimbali za wananchi.

Haya ni baadhi ya mambo aliyoyazungumza na watendaji hao wa manispaa ya Ilala

VIDEO: ‘Katika watu ambao hamtaingia mbinguni ni watu wa ardhi’-Paul Makonda 

Soma na hizi

Tupia Comments