Breaking News

HATIMAE! Picha za Tundu Lissu Hospitalini zaonyeshwa kwa mara ya kwanza

on

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe jana akizungumza na Waandishi wa Habari alisema kwamba picha za Tundu Lissu ambae alijeruhiwa kwa risasi Dodoma zitaanza kutoka na watu wataziona kwenye mitandao, ni baada ya kulazwa Hospitali na watu kutoona picha zake toka alipopigwa risasi.


.

TUNDU LISSU ATOKA ICU, ALIONA JUA KWA MARA YA KWANZA… 

ULIPITWA? Tundu Lissu katolewa ICU, anahamishiwa nchi nyingine…. bonyeza play hapa chini kutazama

HUTAKI KUPITWA? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine.… bonyeza page zifuatazo ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER >>> APP YA MILLARD AYO pia bonyeza SUBSCRIBE HAPA >>> YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments