Breaking News

LIVE: Mbunge wa Liwale C.U.F ajitoa, ahamia CCM (+video)

on

Kutoka Lumumba Dar es salaam sasa hivi Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru ametangaza na kuupokea ugeni ambao taarifa zake zilianza kusambaa toka jana usiku ambapo tayari Mbunge wa Liwale (CUF) Ndg. Zuberi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote na kurudi CCM, bonyeza play hapa chini kutazama

BREAKING LIVE: TAARIFA MUHIMU KUTOKA IKULU, JPM AFANYA UTEUZI MWINGINE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments