Habari za Mastaa

Lulu asema “Zari anatunyoosha nyumbani kwetu wenyewe”

on

Mwigizaji Maarufu wa Tanzania Elizabeth Michael ‘Lulu‘ amemnyooshea mikono Mama Watoto wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ambae alirudi juzi Tanzania.

Kilichofanya Lulu amnyooshee hiyo mikono juu kwa ishara ya kusalimu amri ni wingi wa watu uliojitokeza kumuona wakati wa ufunguzi wa duka la DANUBE HOME Mlimani City Mall Dar es salaam.

Baada ya kuona jinsi Zari alivyopokewa kwa shangwe na wingi wa watu waliokusanyika kumpokea ambapo amesema >>> “Ule umati Mlimani City kumuona Mama Tee??Dada anatunyoosha nyumbani kwetu wenyewe?TUMPENDE Tu…HAKUNA NAMNA”

“NIMEVIONA VYA DIAMOND KULIKO YEYOTE” – HAMISSA MOBETTO…… bonyeza play hapa chini kumtazama

VIDEO: Kelele za Wifi, Wifi….. baada ya Zari kuonekana Mlimani City Mall…. play hapa chini kujionea mwanzo mwisho

UNATAKA KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine…. fanya jambo moja tu rahisiBONYEZA PAGE ZIFUATAZO ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER <<<< na ili kupata BREAKING NEWS zote kwa njia ya video ingia HAPA kisha bonyeza SUBSCRIBE

Soma na hizi

Tupia Comments